Skip to main content
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

SLUHISHO LA STRESS 2018



HERI YA MWAKA MPYAA

Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru wewe mpenzi mfuatiliaji wa nakala mbali mbali zinazokuja na lengo la kuelimisha jamii kuhusu lishe bora kwa ajili yako na familia yako.
AfyaLishe Tz inakuletea zawadi ya mwaka mpya kwa kufungua kurasa mpya itakayokuja kwa jina la JengaFamilia.
Jenga familia inakuja kwako kukuelimisha maswala mbali mbali kuhusu familia kama msingi wa kila kitu.
Katika kurasa hii utakutana na nakala mbali mbali zitakazokujuza ujenge vipi familia yako ili kuboresha maendeleo katika jamii nzima inayokuzunguka, lakini pia itakupa uzoefu mbali mbali utakaokufanya ufahamu jinsi ya kuwa na amani katika maisha yako.
Kurasa hii pia inakuja na huduma ya counselling/ ushauri ambapo hapa utapata fursa ya kuachilia mambo mbali mbali  yanayokutatiza katika maisha yako na hakika utapata faraja baada ya kusikilizwa, na utapata ushauri kutoka kwa mtaalamu wetu wa maswala ya kijamii na familia, Ms Sylvia Senkoro, Mkurugenzi mtendaji wa AfyaLishe blog.

Kwa kusema hayo naomba nikukaribishe mwaka mpya na huduma zetu bora kabisa kwa ajili yako.
NITAKUSIKILIZA
Kauli mbiu yetu ya mwaka 2018.
Tushukuru Mungu kwa pamoja, 2018 ya USHINDI.

By Sylvia Senkoro
0754031039
Sylsenkoro@gmail.com

Comments

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.

Popular posts from this blog

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA Tumekua na tamaduni ya kuandaa uji wa lishe ya mtoto bila kufuata kanuni za uandaaji bora. Madhara ya uji usio bora

KANUNI BORA ZA KUMUANZISHIA MTOTO CHAKULA AFIKAPO MIEZI SITA

KANUNI BORA ZA KUMUANZISHIA MTOTO CHAKULA AFIKAPO MIEZI SITA 🏮 Kwanini nianze kumpa mtoto wa miezi 6 chakula kingine? 🍲Mtoto wa miezi sita ameanza kuwa na mahitaji ya virutubishi  kwa wingi zaidi ya anavyopata kutoka kwenye maziwa ya mama.

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO Mtoto anyonye maziwa ya mama tu hadi ayakapotimiza Miezi sita. Utakua umemuepushia magonjwa na hatari zingine nyingi tu. Kama mama hana maziwa ya kutosha mtoto pia anaweza kupewa formula milk ila ni pale tu mama akiwa maefariki au akiwa na tatizo kama hilo la maziwa kuto tosha. Lakini ni muhimu mama kukazana kuhakikisha maziwa yanatosha ili mtoto awe katika hali salama na afya zaidi. Fahamu vitu vifuatavyo vimesaidia wengine 🍵Maziwa ya mama yametengenezwa na vtu vi3 vya muhimu *maji ambayo ndio mengi *Protein and *Fats 🍵 ni muhimu sana kufahamu kwamba  kutoka kwa  Maziwa kunahitaji activity ya hormones/ homoni ziwe stimulated, na kinachostimulate ni mtoto kunyonya au kuvuta chuchu Hivyo mtoto anavovuta au kunyonya chuchu ya mama yake ndivo hormones za kutengeneza  maziwa zinavozalishwa zaidi, hivyo kuleta matokeo chanya katika unyonyeshaji. Mama asikate tamaa kumueka mtoto kwenye chuchu hata kama maziwa hayatoki auni macha
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""