Skip to main content

Posts

Showing posts with the label JengaFamilia
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

WAJUE WATU #1

Tabia za baadhi ya watu Kisaikolojia. Binadamu huzaliwa akiwa blank hana kitu akilini mwake, Lakini kadri akuavyo mazingira yanayomzunguka yanamjaza akili.

UNYONGE /DEPRESSION

Unyonge ni ugonjwa wa kawaida wa akili, unaohusishwa na huzuni na kupoteza raha ya kushiriki katika shughuli ambazo kawaida huzifurahia, ikifuatana na kutokuwa na uwezo wa kufanya shughuli za kila siku, kwa angalau wiki mbili.  Kwa kuongeza, watu walio na unyonge kawaida wana tabia zifuatazo: kukosa nguvu ; kupoteza hamu ya kula; kulala zaidi au kidogo, wasiwasi; kupunguza uchangamfu, kushindwa kufanya maamuzi; kupuuziushindwa kua makini; hisia za kutokujithamini, kujiona mwenye hatia, au kutokuwa na tumaini; na mawazo ya kujidhuru au kujiua.  Unyonge unatibika kwa matibabu ya kuzungumza au dawa za kutuliza au usingizi au mchanganyiko wa haya.   ENGLISH Depression is a common mental disorder, characterized by persistent sadness and a loss of interest in activities that you normally enjoy, accompanied by an inability to carry out daily activities, for at least two weeks. In addition, people with depression normally have several of the following: a loss of energy; a...

SLUHISHO LA STRESS 2018

HERI YA MWAKA MPYAA Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru wewe mpenzi mfuatiliaji wa nakala mbali mbali zinazokuja na lengo la kuelimisha jamii kuhusu lishe bora kwa ajili yako na familia yako. AfyaLishe Tz inakuletea zawadi ya mwaka mpya kwa kufungua kurasa mpya itakayokuja kwa jina la JengaFamilia . Jenga familia inakuja kwako kukuelimisha maswala mbali mbali kuhusu familia kama msingi wa kila kitu. Katika kurasa hii utakutana na nakala mbali mbali zitakazokujuza ujenge vipi familia yako ili kuboresha maendeleo katika jamii nzima inayokuzunguka, lakini pia itakupa uzoefu mbali mbali utakaokufanya ufahamu jinsi ya kuwa na amani katika maisha yako. Kurasa hii pia inakuja na huduma ya counselling/ ushauri ambapo hapa utapata fursa ya kuachilia mambo mbali mbali  yanayokutatiza katika maisha yako na hakika utapata faraja baada ya kusikilizwa, na utapata ushauri kutoka kwa mtaalamu wetu wa maswala ya kijamii na familia, Ms Sylvia Senkoro, Mkurugenzi mtendaji wa AfyaLishe bl...

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""