Unyonge ni ugonjwa wa kawaida wa akili, unaohusishwa na huzuni na kupoteza raha ya kushiriki katika shughuli ambazo kawaida huzifurahia, ikifuatana na kutokuwa na uwezo wa kufanya shughuli za kila siku, kwa angalau wiki mbili. Kwa kuongeza, watu walio na unyonge kawaida wana tabia zifuatazo: kukosa nguvu ; kupoteza hamu ya kula; kulala zaidi au kidogo, wasiwasi; kupunguza uchangamfu, kushindwa kufanya maamuzi; kupuuziushindwa kua makini; hisia za kutokujithamini, kujiona mwenye hatia, au kutokuwa na tumaini; na mawazo ya kujidhuru au kujiua. Unyonge unatibika kwa matibabu ya kuzungumza au dawa za kutuliza au usingizi au mchanganyiko wa haya. ENGLISH Depression is a common mental disorder, characterized by persistent sadness and a loss of interest in activities that you normally enjoy, accompanied by an inability to carry out daily activities, for at least two weeks. In addition, people with depression normally have several of the following: a loss of energy; a...