Diet tips for men kwa kupunguza uzito 🍉Adjust meals zako uondoe starch and tumia protean instead. 🍉Tumia asali in moderation achana na sukari and any sugary staff 🍉If unakunywa bia mbili tatu, acha au iwe moja tu weekely, pia achana na soda kabisaa Or any processed beverages. Instead tumia fruits or natural fruit juice zenye asali instead of sugar. 🍇Hakikisha unachokula unakifanyia kazi. 🍉Hakikisha usiku ule saa moja jioni usizidishe hapo nd tumia fruits nd vegies yani a light meal. 🍉Asubuhi kunywa maji ya moto yenye limao kwa ajili ya kuchoma mafuta. 🍆Vuta muda ule saa sita au tano nanusu, skip breakfast. 🍒Fanya zoezi, hasa kukimbia au kuruka kamba, kama una kitambi push-ups, na mazoezi mengine ya tumbo unaaeza ukakazana nayo. 🍉Kunywa maji yasiopungua 3 litres per day. 🍠 Warning . Kwa wanaume ukila sana proteans ukafanya na mazoezi utanenepa na si kupungua. Hivo hakikisha unareduce meals portion zako. By Sylvia ReSta Dietetics & Co...