SWAHILI Inapigana na kansa Inatuliza akili na kusaidia kupata usingizi. Inasaidia kazi za mwili kama kuvunja vunja chakula na kunyonya virutubishi. Ina kiwango kizuri cha protini Hivyo hujenga mwili. Ina kiwango kizuri cha kalsiamu hivo inasaidia kuzuia matatizo ya miguu (mifupa) kwa kina mama hasa uzeeni. Inaepusha magonjwa ya moyo sababu ina aina nzuri ya mafuta yasiyo na high cholesterol. Inasaidia afya ta figo. Inasaidia kuimarisha kinga mwilini Huongeza uwezo wa uzazi kwa wanaume Itumike kwa kiasi inaweza leta unene. Hutuliza presha. Hudhibiti kisukari. Husaidia uumbaji wa mtoto, wakati mama ni mjamzito. Husaidia kuongeza kiwango cha maziwa kwa mama anaenyonyesha. Inaweza kuliwa ikiwa imesagwa na kutumika kama kiungo kwenye kachumbari na vyakula. Lakini pia inaweza kukaangwa na kutafunwa kama kkaranga. ENGLISH. Pumpkin seeds are delicious and often overlooked parts of a pumpkin, which have many health benefits and nutrients packed ...