UFUGAJI WA NYUKI KWENYE MIZINGA ๐๐๐๐๐๐๐ Nyuki ni chanzo cha uzalishaji wa asali ๐Ufugaji nyuki (au *apiculture*, jina limetokana na neno la Kilatini apis= nyuki) ๐Apiculture ni ufugaji wa nyuki wa asali unaohusisha utengenezaji wa mizinga ya nyuki, mara nyingi ikiwa ni pamoja na kuwazalisha nyuki kwa makundi toafauti tofauti. ๐ Mfugaji wa nyuki (au apiarist) hufuga nyuki ili kukusanya asali na bidhaa nyingine zitikanazo na ufugaji wa nyuki. ๐Eneo ambapo nyuki wanahifadhiwa au kufugwa huitwa "apiary" ๐Asali hutumika kama chakula pia inajulikana kuwa na thamani ya dawa. Inajulikana kuwa muhimu sana katika matibabu ya matatizo mbalimbali ya wanadamu kuhusiana na mmeng'enyo wa chakula yaani digestion, ugonjwa wa kuhara kutapika, magonjwa ya tumbo na ugonjwa wa ini. ๐ Utafiti wa kisasa unaonyesha kwamba asali: ๐Inazuia ukuaji wa bakteria ya mdomo Inatengeneza layer mdomoni na kwenye koo na hupunguza vidonda kooni. Pia a...