Skip to main content
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

FAIDA ZA NYUKI


UFUGAJI WA NYUKI KWENYE MIZINGA
๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ
Nyuki ni chanzo cha uzalishaji wa asali



๐ŸUfugaji nyuki (au *apiculture*,  jina limetokana na neno la Kilatini apis= nyuki)

 ๐ŸApiculture ni ufugaji wa nyuki wa asali unaohusisha utengenezaji wa mizinga ya nyuki, mara nyingi ikiwa ni pamoja na kuwazalisha nyuki kwa makundi toafauti tofauti.


๐Ÿ Mfugaji wa nyuki (au apiarist) hufuga nyuki ili kukusanya asali na bidhaa nyingine zitikanazo na ufugaji wa nyuki.

 ๐ŸEneo ambapo nyuki wanahifadhiwa au kufugwa huitwa "apiary"


๐ŸAsali hutumika kama chakula pia inajulikana kuwa na thamani ya dawa. Inajulikana kuwa muhimu sana katika matibabu ya matatizo mbalimbali ya wanadamu kuhusiana na mmeng'enyo wa chakula yaani  digestion, ugonjwa wa kuhara kutapika, magonjwa ya  tumbo na ugonjwa wa ini.

๐Ÿ Utafiti wa kisasa unaonyesha kwamba asali:

๐ŸInazuia ukuaji wa bakteria ya mdomo Inatengeneza layer mdomoni na  kwenye koo na hupunguza vidonda kooni. Pia asali hutumiwa katika matibabu ya vidonda  vya tumbo au peptic. Asali Inafaa katika matibabu ya majeraha na maambukizi mbalimbali kwa sababu ya uwezo wake  wa kuwa  antimicrobial (antibacterial, antiviral and antifungal).

๐ŸPia Asali  inatumika kama antioxidant. Hii ina maana kwamba inaruhusu damu kuenea vizuri na kutoa oksijeni zaidi kwenye maeneo ya mwili kama vile ubongo.
๐ŸInaweza pia kutumika nje ya mwili kwenye ngozi ili kukuza uponyaji inapotumika kwenye majeraha, hata majeraha ya baada ya operation ndogo.
Inatumika  pia mahali penye majeraha ya moto.


๐ŸAsali Ina aina ya sukari na madini na imeonyeshwa kuwa na kiwango kidogo cha kalori na inafaa kama sweetener kwa watu wanaoishi na ugonjwa wa kisukari, watu walio na ugonjwa wa moyo au wale ambao ni overweight.



๐ŸUfugaji wa nyuki pia husaidia katika matumizi mengine ya kilimo kama Uchavushaji wa maua ya mimea, kwani pollens huhamishwa kutoka maua ya sehemu moja hadi nyingine na nyuki wakati wanapokusanya nectari.

UFUGAJI WA NYUKI HUSAIDIA KUTUNZA MAZINGIRA TUFUGE NYUKI WA ASALI KWA WINGI.
BILA NYUKI HATUPATI CHAKULA CHA KUTOSHA YAANI HATUTAPATA ASALI PIA BILA NYUKI HATUTAPATA MAZAO YA KUTOSHA KUTOKANA NA KUPUNGUA KWA UCHAVUSHAJI WA MIMEA.

*Jiunge nasi.....*

*Itaendelea*


Dr Riziki Ngogo (Vet)
*AfyaMIFUGO Tz*
afyamifugo.blogspot.com
0763222500 whatsap
0652515242
afyamifugo@gmail.com
Veterinary services and animal care: facebook
afya_mifugo_tz  : instagram

Comments

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.

Popular posts from this blog

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA Tumekua na tamaduni ya kuandaa uji wa lishe ya mtoto bila kufuata kanuni za uandaaji bora. Madhara ya uji usio bora

KANUNI BORA ZA KUMUANZISHIA MTOTO CHAKULA AFIKAPO MIEZI SITA

KANUNI BORA ZA KUMUANZISHIA MTOTO CHAKULA AFIKAPO MIEZI SITA ๐Ÿฎ Kwanini nianze kumpa mtoto wa miezi 6 chakula kingine? ๐ŸฒMtoto wa miezi sita ameanza kuwa na mahitaji ya virutubishi  kwa wingi zaidi ya anavyopata kutoka kwenye maziwa ya mama.

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO Mtoto anyonye maziwa ya mama tu hadi ayakapotimiza Miezi sita. Utakua umemuepushia magonjwa na hatari zingine nyingi tu. Kama mama hana maziwa ya kutosha mtoto pia anaweza kupewa formula milk ila ni pale tu mama akiwa maefariki au akiwa na tatizo kama hilo la maziwa kuto tosha. Lakini ni muhimu mama kukazana kuhakikisha maziwa yanatosha ili mtoto awe katika hali salama na afya zaidi. Fahamu vitu vifuatavyo vimesaidia wengine ๐ŸตMaziwa ya mama yametengenezwa na vtu vi3 vya muhimu *maji ambayo ndio mengi *Protein and *Fats ๐Ÿต ni muhimu sana kufahamu kwamba  kutoka kwa  Maziwa kunahitaji activity ya hormones/ homoni ziwe stimulated, na kinachostimulate ni mtoto kunyonya au kuvuta chuchu Hivyo mtoto anavovuta au kunyonya chuchu ya mama yake ndivo hormones za kutengeneza  maziwa zinavozalishwa zaidi, hivyo kuleta matokeo chanya katika unyonyeshaji. Mama asikate tamaa kumueka mtoto kwenye chuchu hata kama maziwa hayatoki auni macha
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""