```●Nina furaha kukwaambia kwamba bado hujachelewa kuweka lengo jipya na kuamua kulifanyia kazi katika safari inayoendelea katika maishs yako. ●Zifuatazo ni baadhi ya mifumo ya maisha inayoweza kukufanya ufanikishe malengo yako muhimu katika maisha.``` 1. Ona kushindwa kama mwanzo wa kitu kipya 2. Mshirikishe Mungu kabla ya jambo lolote 3. Andaa nguo nadhifu ya kuvaa kesho kabla hujalala, amka mapema, tandika kitanda chako na usisahau kujali afya yako. 4. Tafuta amani na yaliyopita kabla hayajakutesa 5. Weka malengo makubwa lakini anza na dogo lililo ndani ya uwezo wako 6. Usiwekee labda katika vitu bali pima kilakitu 7. Usijifananishe na watu 8. Andika malengo yako 9. Panga mipango ya namna utatimiza malengo yako 10. Tafuta hekima na maarifa juu ya mambo mbali mbali hasa lile unslotazamia kufanya. 11. Fanya kazi yenye manufaa kwako 12. Tumia kidogo zaidi ya unacho ingiza 13. Wekeza katika mawazo yako 14. Kopa kwa manufaa 15. Epuka wapoteza...