* Ratiba ya mafunzo ya siku 1000 za mtoto, afya ya mama na mtoto kuanzia ujauzito hadi mtoto atimizapo miaka miwili.* ```Kabla ya lolote tutaanza kwa kupima tunaelewa nini kuhusu siku 1000 za mtoto.``` 1. Maana na umuhimu wa siku 1000 kwa mtoto 2. Maandalizi bora ya siku 1000 za mtoto 3. Faida ylza kuzingatia lishe bora kabla ya ujauzito 4. Kipindi cha ujauzito ▪trimester 1 ▪trimester 2 ▪trimester 3 ▪Ongezeko la uzito 5. Mlo kamili kwa wajawazito 6. Matatizo yanayohusiana na lishe kipindi vha ujauzito na jinsi ya kuepukana nayo 7. Baada ya ujauzito na kipindi cha kujifungua 8. Lishe bora ya mama baada ya kujifungua 9. Afya ya mtoto na maziwa ya mama miezi 0-6 10. Kumuanzishia mtoto chakula baada ya miezi 6 11. Ratiba na viwango vya chakula kwa mtoto miezi 6 hadi 24 12. Uzito sahihi wa mtoto kulingana na umri. 13. Maandalizi ya vyakula mbali mbalibali vya watoto 14. Matatizo yanayohusiana na lishe kwa watoto na jinsi ya kuepuka 15 . Maswali na