Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468
REDUCE CANCER EFFECTS/ PUNGUZA NGUVU YA SARATANI MAFUTA YA MIZEITUNI/ OLIVE OIL SWAHILI VERSION 🌿🌿Mafuta ya mizeituni ni mojawapo ya vitu vya kale sana na vinavyopendwa sana duniani, si tu kwa sababu inasaidia kuleta ladha nzuri ya chakula , lakini
UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA Tumekua na tamaduni ya kuandaa uji wa lishe ya mtoto bila kufuata kanuni za uandaaji bora. Madhara ya uji usio bora
UANDAAJI SAHIHI WA MAZIWA YA NG'OMBE KWA MTOTO MIEZI 6 HADI MWAKA. 🏮Mfumo wa kumeng'enya chakula kwa mtoto wa miezi 6 hadi mwaka bado haupo na uwezo wa kumengenya virutubisho vilivyopo kwenye maziwa ya ng'ombe
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.
Chagua afya leo.
EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/
THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""