Skip to main content
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

REDUCE CANCER EFFECTS/ PUNGUZA NGUVU YA SARATANI

REDUCE CANCER EFFECTS/ PUNGUZA NGUVU YA SARATANI

MAFUTA YA MIZEITUNI/ OLIVE OIL

SWAHILI VERSION
🌿🌿Mafuta ya mizeituni ni mojawapo ya vitu vya kale sana na vinavyopendwa sana duniani, si tu kwa sababu inasaidia kuleta ladha nzuri ya chakula , lakini
pia kwa sababu inamanufaa mazuri kwa afya.

🌿🌿Kwasababu mafuta ya mizeituni ina viwango vya juu vya asidi ya mafuta ya omega-3, ambayo inaweza kupunguza maumivu, sumu ndani ya mwili, na pia kushusha kiwango cha ushambulizi  wa saratani mwilini.
🌿🌿Ongeza mafuta ya mzeituni kwenye chakula chako, kupikia, na hata kuyanywa pekeyake ili kupata faida hizi katika mfumo wako!

ENGLISH VERSION
🌿🌿Olive oil is one of the oldest and most highly beloved substances on the planet, not only because it helps make food taste better, but also because it is a much healthier alternative to traditional vegetable oils.
🌿🌿Olive oil also contains high levels of omega-3 fatty acids, which can reduce inflammation throughout the body, and make you less susceptible to cancer.

🌿🌿Omega-3 fatty acids even act as antioxidants in some cases, lowering levels of oxidative stress and preventing the development of cancer.

🌿🌿Add olive oil to your meals, cook with it, and even consume it plain to get this healthy boost to your system!


By Sylvia Senkoro, AfyaLishe tz
0754031039/0655568468
sylsenkoro@gmail.com
afyalishetz@gmail.com

Comments

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.

Popular posts from this blog

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA Tumekua na tamaduni ya kuandaa uji wa lishe ya mtoto bila kufuata kanuni za uandaaji bora. Madhara ya uji usio bora

KANUNI BORA ZA KUMUANZISHIA MTOTO CHAKULA AFIKAPO MIEZI SITA

KANUNI BORA ZA KUMUANZISHIA MTOTO CHAKULA AFIKAPO MIEZI SITA 🏮 Kwanini nianze kumpa mtoto wa miezi 6 chakula kingine? 🍲Mtoto wa miezi sita ameanza kuwa na mahitaji ya virutubishi  kwa wingi zaidi ya anavyopata kutoka kwenye maziwa ya mama.

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO Mtoto anyonye maziwa ya mama tu hadi ayakapotimiza Miezi sita. Utakua umemuepushia magonjwa na hatari zingine nyingi tu. Kama mama hana maziwa ya kutosha mtoto pia anaweza kupewa formula milk ila ni pale tu mama akiwa maefariki au akiwa na tatizo kama hilo la maziwa kuto tosha. Lakini ni muhimu mama kukazana kuhakikisha maziwa yanatosha ili mtoto awe katika hali salama na afya zaidi. Fahamu vitu vifuatavyo vimesaidia wengine 🍵Maziwa ya mama yametengenezwa na vtu vi3 vya muhimu *maji ambayo ndio mengi *Protein and *Fats 🍵 ni muhimu sana kufahamu kwamba  kutoka kwa  Maziwa kunahitaji activity ya hormones/ homoni ziwe stimulated, na kinachostimulate ni mtoto kunyonya au kuvuta chuchu Hivyo mtoto anavovuta au kunyonya chuchu ya mama yake ndivo hormones za kutengeneza  maziwa zinavozalishwa zaidi, hivyo kuleta matokeo chanya katika unyonyeshaji. Mama asikate tamaa kumueka mtoto kwenye chuchu hata kama maziwa hayatoki auni macha
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""