1. Majina kamili 2. Umri 3. Historia ya familia 4. Historia ya elimu 5. Historia ya Afya 6. Historia ya kazi na kwanini aliacha. 7. Ratiba yake ya siku 8. Kazi anazoweza kufanya 9. Kazi asizoweza kufanya na kwanini. 10. Aina ya vyakula asivyoweza kula na kwanini 11. Tambua Dini yake na imani zake. * Zingatia * ●Baada ya kumdodosa dada, andika majibu yake na utumie hayo kumpangia majukumu yake na kanuni za kazi hapo kwako. ●Ni muhimu dada kupima afya yake pindi anapoingia kwako. ●Ni muhimu dada kuwa na barua ya utambulisho kutoka kijiji alipotoka iliyosainiwa ns yenye muhuri na saini ya mwenyekiti wake ●Ni muhimu dada kuja na kithibitisho cha wazazi au walezi wake kuridhia kufanya kazi hapo na uwe na mawasiliano nao. ●Ni muhimu kuweka wazi ratiba za likizo ●Ni muhimu kuweka wazi matumizi yatakayokua juu yako na atakayojitegemea ●Ni muhimu kumuandalia ratiba ya kazi itakayomuongoza kwa siku nzima. ●Ikiwezekana binti akaguliwe vitu alivyokuwa navyo anavyof