`` LISHE YA MAMA MJAMZITO``` Matatizo yanayotokana na upungufu wa Iodini (IDD) _Goitre_ kuzidi kwa eneo la shingo kutokana na kuathirika kwa tezi ya thairoidi. _Hyothyothyism_ Ngozi kavu, uzito kuongezeka, uso kuvimba. _Hyperthyroidism_ Mapigo ya moyo kwenda haraka na kupoteza uzito kutokana na tezi kuathirika. _Cretinism_ Matatizo ya akili, matatizo katika maendeleo ya kimwili, hali ya Udumavu na ulegevu kwa mama mjamzito kakili na kimwili. Mf. Kusahau sahau, mama anaweza akawaza anataka afanye hiki lakini mwili wake umefanya vingine kabisa. Au hata mtu kua taratibu katika kufanya mambo yake hata kuamua. MAJI NA VYAKULA VYENHE NYUZI HUKAMILISHA LISHE BORA KWA MAMA MJAMZITO I. _Nyuzi nyuzi za vyakula (fibers)_ Fibers (nyuzi) za vyakula ni sehemu ya chakula ambayo haviwezi kuvunjika vyote na pia hua vichochezi vya umengenyaji (enzymes) katika utumbo mwilini mwa binadamu. _Chakula chenye jamii ya nyuzi (fiber) husaidia kuboresha kazi za utumbo ...