Skip to main content

Posts

Showing posts from July 9, 2019
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

SAYANSI NYUMA YA DETOX NA KUPUNGUZA UNENE, UZITO AU VITAMBI

MAKALA YA 102 http://afyalishetz.blogspot.com/2019/07/sayansi-nyuma-ya-detox-na-kupunguza.html N:B Asilimia 60  ya uzito ulionao ni maji, hivyo kadri unavyopoteza maji ndivyo unapoteza uzito. Mf: Mtu mwenye kilo kg100 akifanikiwa kupoteza lita 10 za maji mwilini mwake, atakua amefanikiwa kupunguza kilo kg14 za uzito wake. Katika dunia ya leo kila mtu anahitaji kuwa na mwili unaovutia na kupendeza. Kwa bahati mbaya wengi tunatamani hili bila ya kulifanyia kazi. Kutokana na tamaa hii tuliyonayo basi tumeibua ushawishi kwa wajasiriamali wengi kuanza biashara ya uuzaji wa detox tea (chai za kusafisha na kupunguza mwili) Nimeandika ili kwa wale tusio fahamu tujifunze kitu. ```Tuanzie hapa Nini maana ya detox? Kwa lugha ya wenzetu Toxin ni sumu, hivyo Detox ni kitendo cha kuiondoa hiyo sumu. Sasa kwa vile hapa naongelea zaidi mwili, naweza nikasema Detox ni kuondoa sumu mwilini. Vinywaji vya Detox huwa na *Antioxidants*, kwa lugha rahisi tunaweza kusema ni *Viua ...

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""