Skip to main content
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

MAFUNZO YA SIKU 1000 ZA MTOTO ( AFYA NA LISHE YA MAMA NA MTOTO)


*Ratiba ya mafunzo ya siku 1000 za mtoto, afya ya mama na mtoto kuanzia ujauzito hadi mtoto atimizapo miaka miwili.*

```Kabla ya lolote tutaanza kwa kupima tunaelewa nini kuhusu siku 1000 za mtoto.```

1. Maana na umuhimu wa siku 1000 kwa mtoto

2. Maandalizi bora ya siku 1000 za mtoto

3. Faida ylza kuzingatia lishe bora kabla ya ujauzito

4. Kipindi cha ujauzito
▪trimester 1
▪trimester 2
▪trimester 3
▪Ongezeko la uzito

5. Mlo kamili kwa wajawazito

6. Matatizo yanayohusiana na lishe kipindi vha ujauzito na jinsi ya kuepukana nayo

7. Baada ya ujauzito na kipindi cha kujifungua

8. Lishe bora ya mama baada ya kujifungua

9. Afya ya mtoto na maziwa ya mama miezi 0-6

10. Kumuanzishia mtoto chakula baada ya miezi 6

11. Ratiba na viwango vya chakula kwa mtoto miezi 6 hadi 24

12. Uzito sahihi wa mtoto kulingana na umri.

13. Maandalizi ya vyakula mbali mbalibali vya watoto

14. Matatizo yanayohusiana na lishe kwa watoto na jinsi ya kuepuka

15 . Maswali na majibu kulingana na mada kila baada ya mada.

16. Maswali na majibu kuhusiana na mada zilizopita.

17. Majadiliano kuhusu elimu iliyopatikana kipindi cha mada zilizopita.

*Bado hujachelewa kujisajili ili usikose elimu hii.*

*Resta Dietetics & Counselling*
0754031039

Comments

Post a Comment

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.

Popular posts from this blog

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA Tumekua na tamaduni ya kuandaa uji wa lishe ya mtoto bila kufuata kanuni za uandaaji bora. Madhara ya uji usio bora

KANUNI BORA ZA KUMUANZISHIA MTOTO CHAKULA AFIKAPO MIEZI SITA

KANUNI BORA ZA KUMUANZISHIA MTOTO CHAKULA AFIKAPO MIEZI SITA 🏮 Kwanini nianze kumpa mtoto wa miezi 6 chakula kingine? 🍲Mtoto wa miezi sita ameanza kuwa na mahitaji ya virutubishi  kwa wingi zaidi ya anavyopata kutoka kwenye maziwa ya mama.

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO Mtoto anyonye maziwa ya mama tu hadi ayakapotimiza Miezi sita. Utakua umemuepushia magonjwa na hatari zingine nyingi tu. Kama mama hana maziwa ya kutosha mtoto pia anaweza kupewa formula milk ila ni pale tu mama akiwa maefariki au akiwa na tatizo kama hilo la maziwa kuto tosha. Lakini ni muhimu mama kukazana kuhakikisha maziwa yanatosha ili mtoto awe katika hali salama na afya zaidi. Fahamu vitu vifuatavyo vimesaidia wengine 🍵Maziwa ya mama yametengenezwa na vtu vi3 vya muhimu *maji ambayo ndio mengi *Protein and *Fats 🍵 ni muhimu sana kufahamu kwamba  kutoka kwa  Maziwa kunahitaji activity ya hormones/ homoni ziwe stimulated, na kinachostimulate ni mtoto kunyonya au kuvuta chuchu Hivyo mtoto anavovuta au kunyonya chuchu ya mama yake ndivo hormones za kutengeneza  maziwa zinavozalishwa zaidi, hivyo kuleta matokeo chanya katika unyonyeshaji. Mama asikate tamaa kumueka mtoto kwenye chuchu hata kama maziwa hayatoki auni macha
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""