Skip to main content
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

MORINGA BENEFITS/ FAIDA ZA MLONGE




MLONGE
Inaweza kutumika kwa ajili ya upishi na dawa.

Mbegu hizi ni chakula ila  zinapaswa kutafunwa, badala ya kuzimeza nzima nzima, pia ni muhimiu zikapikwa au kukaushwa kabla ya kuliwa, badala ya kula mbichi.

UMUHIMU KATIKA LISHE
Mbegu za Moringa ni chanzo kikubwa cha Madini chuma, Potasiamu, Vitamini A, Vitamini C, Calcium, Amino asidi, na Nyuzi za chakula/Fibers.

FAIDA ZAKE KIUNDANI
-Huongeza mfumo wa kinga ya mwili.
-Hupunguza shinikizo la damu.
-Kurahisisha upatikanaji wa usingizi, na
-Kuongeza afya ya ngozi, nywele na mifupa.

MAELEZO KWA KINA.
Huongeza mfumo wa kinga ya mwili.
Uchunguzi umegundua kwamba mbegu hizi zina tabia za kinga dhidi ya vimelea na virusi, kutokana na mkusanyiko wao mkubwa wa vitamini C, pamoja na viuasumu mbalimbali ambavyo kiujumla vinaimarisha kinga ya mwili.

Kupungua uzito
kwa sababu ya kiwango kikubwa cha nyuzi chakula/ Fiber, hizi zitasaidia kushibisha, na hivyo kupunguza tamaa ya kula isiyo rasmi.

Msaada wa Kulala.
Ripoti zinaonyesha kwamba watu ambao huloweka mbegu za mronge kwenye maji kwa muda wa dakika 15 na kisha kunywa maji hayo, wanalala usingizi mnono zaidi, na hujisikia imara zaidi asubuhi.

Kudhibiti Kisukari.
Kwa kuwa kuna zinki nyingi katika mbegu hizi, zinajulikana kusaidia kusaidia kudhibiti viwango vya sukari na kupunguza hatari yako ya ugonjwa wa kisukari.

Shinikizo la damu.
Potasiamu hupatikana katika kiwango kikubwa ndani ya mronge, ambayo hutanua mishipa  (vasodilation) na hivyo kupunguza matatizo kwenye mfumo mzima wa moyo.

Utunzaji wa Nywele & Utunzaji wa Ngozi.
Polyphenols, flavonoids, (Aina za kemikali) na madini mbalimbali zinazoweza kusaidia kuongeza afya ya ngozi, pamoja na nguvu na kudumu kwa nywele.

Kudhibiti upungufu wa damu/ Anaemia.
Kutokana na viwango vikubwa vya chuma, mbegu hizi zina uwezo wa kuongeza mzunguko wa damu  na kuzuia dalili za anemia.

Kuongeza Nishati.
Ikiwa unahitaji kuzalisha nishati zaidi mwilini, mronge unasifika kuwa na kiwango bora cha wanga na protini.

FAIDA ZINGINE
-Kutokana na kiwango kikubwa cha vidhibiti vya vimelea kama bacteria/ fangasi na pia uwezo wa kudhibiti kuzeeka. Mbegu za mronge zinaweza kuukinga mwili.
-Kudhibiti kiwango cha cholesterol.
-Kudhibiti ufanyaji kazi wa mishipa ya uzazi kwa wanaume.
-Kuimarisha afya ya moyo, ubongo, ini, na macho.
-Kudhibiti vidonda vya tumbo na maumivu pamoja na kuboresha mmeng'enyo wa chakula.
-Hudhibiti afya ya mifupa.
-Hudhibiti magonjwa yanayosababishwa na kufeli kwa neva.
-Hudhibiti presha.

JINSI YA KULA
Ikiwa unataka kuongeza mbegu hizi kwenye mlo wako wa kila siku, Ni muhimu kuanza polepole na kutumia kwa kiasi.

-Kuzikaanga kwa ajili ya kutafuna au kuunga kwenye vyakula/ Supu na mikate kwa ajili ya kuboresha ladha.
-Kukausha na kusaga pia kwa ajili ya kuunga kwenye vyakula.
-Kwa kawaida, usitumie zaidi ya gramu zaidi ya 3 za mbegu hizi mara mbili kwa siku, ikiwa unatumia kwa madhumuni ya dawa.
-Hudhibiti athari za Kansa.

MADHARA.
Pamoja na faida nyingi, Ulaji ukizidi unaweza kusababisha:-
Kichefuchefu, kutapika lakini pia mchafuko kwenye utumbo.

KWA WAJAWAZITO
Kabla ya kutumia mimea yoyote ni muhimu kuwasiliana na daktari wako.
Lakini pia mlonge unatabia ya kukaza misuli ya uterus, hivyo unaweza kusababisha hedhi na kuharibika kwa mimba.
Hivyo haishauriwi kwa mjamzito.

MORINGA
It can be used for culinary and medicinal applications.

Moringa seeds are edible, but they should be chewed, rather than swallowed whole.
These seeds should also be cooked or dried before eating, rather than eating them raw from the pod.

Moringa Seeds Nutritional Value

Moringa seeds are a rich source of iron, potassium, vitamin A, vitamin C, calcium, amino acids, and dietary fiber.

Each pod contains between 10 and 35 seeds, while one cup of pods contains a total calorie count of just under 40, as well as moderate amounts of protein and carbohydrates. There are also various antioxidants in these seeds, such as flavonoids / for adding flavour in foods and polyphenolic compounds.

Moringa Seeds Benefits

The major benefits of moringa seeds include

-High ability to boost the immune system,
-Reduce blood pressure, relieve insomnia, and
-Promote healthy hair, skin, and bones.
-Realeaves ulcers and gastrointestinal discomforts

Immune System

Studies have found that these seeds have natural antimicrobial and antiviral properties, perhaps due to their large concentration of vitamin C, as well as various antioxidants that can boost the body’s defenses.

Weight Loss
because they are high in dietary fiber.
When you eat some of these seeds, it will help to make you full, thus lowering your desire to snack between meals or overeat.

Sleep Aid
One of the popular uses of these seeds is as a sleep aid. Reports show that people who steep moringa seeds in water for 15 minutes and then drink the water before bed have a more restful sleep, and feel more energized in the morning.

Diabetes
Since there is so much zinc in these seeds, they are known to help regulate blood sugar levels and lower your risk of diabetes.

Blood Pressure
Potassium is found in rich supply within moringa, which can act as a vasodilator and relieve strain on the entire cardiovascular system.

Hair Care & Skin Care
Polyphenols, flavonoids, and various minerals can all help boost the health of the skin, as well as the strength and durability of the hair.

Anemia
With very impressive levels of iron, these seeds are able to boost circulation and prevent the symptoms of anemia.

Energy Levels
If you need to generate more energy, having a good supply of carbohydrates and protein is an excellent start, and these seeds are rich in both of these nutrients.

Treats Edema
Moringa extracts are beneficial in the treatment of edema. Research studies have confirmed that treatment with drumstick root extract, which possesses anti-inflammatory qualities, has been significantly effective in inhibiting the development of edema. Moreover, these studies suggest that the efficacy of this herb stands equal with the potent anti-inflammatory medicine indomethacin in the treatment of such painful conditions.

Cures Cancer 
Moringa is an anticancer agent and is highly valued in tumor therapy. Scientific research has demonstrated that its extracts possess chemopreventive properties attributed to the presence of the phenolic components quercetin and kaempferol. Another study has demonstrated the role of the bioactive compound niazimicin in restraining the development of cancer cells. Drumstick extracts impart chemo-modulatory effects towards curing various types of cancers such as ovarian cancer, hepatic carcinogenesis, and skin papillomagenesis  by inhibiting the proliferation of malignant cancer cells and inducing apoptosis, also known as programmed cell death.

Treats Neurodegenerative diseases.
The effectiveness of moringa has been very valuable in the treatment of neurodegenerative diseases. Research studies have shown that treatment with its extracts has the potential to alter brain monoamines like norepinephrine, serotonin, and dopamine, and it extends its protection against monoaminergic deficiencies related to Alzheimer’s disease.

Improves bone health 
Moringa extracts are beneficial for maintaining healthy bones, which is attributed to the presence of essential minerals like calcium and phosphorous. Its extracts possess  anti-inflammatory properties and are effective in the treatment  of painful conditions such as arthritis, while also helping to heal various  bone ailments such as mandibular or jaw bone fracture.

Treats Hypertension
Moringa is effective  in maintaining optimal levels of blood pressure and cholesterol levels in the body. Bioactive components such as isothiocyanate and niaziminin present in it prevents the thickening of arteries and reduce the development of pulmonary hypertension. Studies have confirmed the hypocholesterolemic effects of moringa that help in reducing a high-fat rise in the liver, kidney, and serum cholesterol levels.

Other Benefits
Due to the great antibacterial, anti-fungal, and anti-aging properties, moringa seeds can help

-Regulate cholesterol,
-Prevent erectile dysfunction, and
-Improve heart, brain, liver, and eye health.
-Helps treat ulcers, joint pain, and improve digestion.

HOW TO EAT
If you want to add these seeds to your daily diet, the first thing to know is to start slow and consume in moderation.

Some people enjoy cooking the seeds in oil like popcorn to make a puffy and delicious snack.

Some people also like to include these dried seeds in casseroles, sauces, bread mixes, soups, and stews, among others.

Generally speaking, don’t consume more than 3 grams of these seeds two times per day, if you are using them for medicinal purposes.

SIDE EFFECTS.
Despite the many benefits, there are some side effects of eating these seeds in excess, such as the following:

Nausea,Vomiting, Gastrointestinal discomfort,

NOTE
Pregnant women must not consume these, since it has a tendance of causing uterus contractions which could stimulate bleedig thus miscarriage.

It is important before any herbal treatments, a pregnant woman and lactating mothers to consult their doctor first.

By AfyaLISHE Tanzania
Sylvia Senkoro
afyalishetz@gmail.com
0754031039

Comments

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.

Popular posts from this blog

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA Tumekua na tamaduni ya kuandaa uji wa lishe ya mtoto bila kufuata kanuni za uandaaji bora. Madhara ya uji usio bora

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO Mtoto anyonye maziwa ya mama tu hadi ayakapotimiza Miezi sita. Utakua umemuepushia magonjwa na hatari zingine nyingi tu. Kama mama hana maziwa ya kutosha mtoto pia anaweza kupewa formula milk ila ni pale tu mama akiwa maefariki au akiwa na tatizo kama hilo la maziwa kuto tosha. Lakini ni muhimu mama kukazana kuhakikisha maziwa yanatosha ili mtoto awe katika hali salama na afya zaidi. Fahamu vitu vifuatavyo vimesaidia wengine 🍵Maziwa ya mama yametengenezwa na vtu vi3 vya muhimu *maji ambayo ndio mengi *Protein and *Fats 🍵 ni muhimu sana kufahamu kwamba  kutoka kwa  Maziwa kunahitaji activity ya hormones/ homoni ziwe stimulated, na kinachostimulate ni mtoto kunyonya au kuvuta chuchu Hivyo mtoto anavovuta au kunyonya chuchu ya mama yake ndivo hormones za kutengeneza  maziwa zinavozalishwa zaidi, hivyo kuleta matokeo chanya katika unyonyeshaji. Mama asikate tamaa kumueka mtoto kwenye chuchu hata kama maziwa hayatoki auni macha

UANDAAJI MAZIWA YA SOYA UKIWA NYUMBANI

Maziwa ya Soya Aina hii ni maarufu pia, na kwa kuwa yanatokana na mimea, maziwa haya hana cholesterol ( lehemu) - tofauti na maziwa ya kawaida. Maziwa ya Soya pia yana kiwango cha chini cha kalori kuliko maziwa ya ng'ombe, yana kalori takribani 130 kwa kila kikombe. Hakuna lactose  katika maziwa haya, aina ya protini inayoleta sana gesi tumboni, hivyo huyafanya kuwa mbadala muhimu kwa watu ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa kushindwa kuvumilia lactose (lactose intolerance) katika mfumo wao wa umeng'enyaji, pamoja na watu wasiotumia bidhaa zitokanazo na wanyama pia (vegeterians) sababu haitoki kwa wanyama.  Soya ni mboga nzuri sana, na maziwa yanayotokana na jamii hii yana utajiri wa potasiamu, protini na kalsiamu ikiwa mtengenezaji atayaimarisha na madini. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini A na vitamini B12, ambayo haipo katika aina nyingine za maziwa. Maziwa ya Soya hutoa kiwango cha juu cha protini, pia ni bora kwa watu ambao wanajaribu kudhibiti uzito wao au kupun
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""