Skip to main content
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

INCREASE CHILD'S ABILITY TO LEARN/ ONGEZA UWEZO WA MTOTO KUJIFUNZA


Quick fact  By UNICEF TANZANIA :
Many parents do not know that they can support their children’s learning at home. Everyone, even without special training or materials, can support early learning.


Parents are children’s first teachers. They play an important role in the development of their brain and making them school-ready.
No formal training is required – just love, affection, and the knowledge that every experience a young child has, shapes his or her development and future.

Parents can integrate simple activities such as playing, singing, telling stories, counting and explaining things, in their daily chores to promote early learning. This can help children learn new skills.

Children who enter school ‘ready to learn’ are more likely to succeed, learn effectively and stay in school.

#ForEveryChild, access to quality education
Be a #Changemaker4Children

SWAHILI
Wazazi wengi hawajui kwamba wanaweza kusaidia watoto wao kujifunza nyumbani. Kila mtu, hata bila mafunzo maalum au vifaa, anaweza kumsaidia mtoto kujifunza mapema.

Wazazi ni walimu wa kwanza kwa watoto wao. Hii ni muhimu katika maendeleo ya ubongo wao na kuwafanya wawe tayari kwa ajili ya shule.

Hakuna mafunzo rasmi yanayohitajika - upendo, ukaribu , na ujuzi kwamba kila uzoefu kwa mtoto mdogo, huunda maendeleo yake ya baadaye.

Wazazi wanaweza kuunganisha shughuli rahisi kama vile kucheza, kuimba, simulizi za hadithi, kuhesabu na kuelezea mambo, katika kazi zao za kila siku ili kuhimiza mafunzo ya awali. Hii inaweza kuwasaidia watoto kujifunza ujuzi mpya.

Watoto wanaoingia shuleni wakiwa 'tayari kujifunza' wana uwezekano mkubwa wa kufanikiwa, kujifunza kwa ufanisi na kudumu shuleni.

AfyaLishe Tz
Sylvia Senkoro
afyalishetz.blogspot.com
0754031039
afyalishetz@gmail.com

Comments

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""