Skip to main content
""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

KANGAROO MOTHER CARE/ AVAILABLE IN ENGLISH AND SWAHILI


"Early moments matters"by UNICEF TANZANIA is now promoting Kangaroo mother care in some health facilities in Tanzania.
The following are several importance of KMC that any parent should know especially those who are expecting to have children soon.


Kangaroo Mother Care, is a time-old childcare initiative, promotes skin contact between a mother and her child. It is an effective and low-cost way of helping premature babies to survive.

Kangaroo Mother Care provides an intimate form of protection to the baby so that rest, growth, and natural healing may occur.

Newborn babies find the best protection when in contact with their mother’s skin – it helps them both physically and emotionally.

Continuous skin-to-skin contact with the mother helps babies to start controlling their body temperature, and strengthens the emotional bond between the two.

When mothers breastfeed, their gentle touch and breathing also stimulates the baby’s breathing. It eases the baby through the new experience of being outside the mother’s womb for the very first time.

Skin-to-skin contact with the mother stabilizes babies. The baby is soothed and comforted by the mother’s familiar heartbeat, her smell and the

KMC is more affordable than incubator care, especially among middle income families. However, only 20% of health facilities promote KMC.

Kangaroo Mother Care is not limited to environments with incubation equipment. It can be administered anywhere. It keeps preterm infants warm and stable.

In some cases kangaroo mother care can also be offered by a father, if the mother died or critical condition after giving birth

SWAHILI

"Mwanzo ni wa muhimu" UNICEF TANZANIA sasa inahamasisha huduma ya mama ya Kangaroo katika vituo vya afya nchini Tanzania. Zifuatazo ni faida muhimu za KMC kwamba kila mtu anapaswa kujua hasa wale wanaotarajia kuwa na watoto hivi karibuni.
Huduma ya mama ya Kangaroo, ni mpango wa huduma ya watoto iliyokuwepo na kutumika kipindi cha nyuma, huduma hii inasisitiza ukaribu wa ngozi kwa ngozi kati ya mama na mtoto wake. Ni njia ya ufanisi na ya gharama nafuu ya kusaidia watoto wachanga hasa waliozaliwa kabla ya muda kuishi.
Huduma ya mama ya Kangaroo humfanya mtoto awe katika hali inayomuhakikishia ulinzi, kupumzika, ukuaji, na uponyaji wa asili huwezekana.
Watoto wachanga hupata ulinzi bora wakati wa kangaroo mother care huwasaidia wote kimwili na kihisia.
Huduma hii ya ngozi kwa ngozi kati ya mtoto na mama husaidia watoto kuanza kudhibiti joto la mwili wao, na kuimarisha uwezo wao wa kulidhibiti, lakini pia huimarisha ukaribu wa mama na mtoto kihisia.
Wakati mama akinyonyesha, kugusana kwake na mtoto kwa upole na kupumua huchochea kinga ya mtoto. Inamshawishi mtoto kupata uzoefu mpya wa kuwa nje ya tumbo la mama kwa mara ya kwanza.
Mguso wa mtoto ngozi kwa ngozi na mama yake huimarisha watoto. Mtoto hufarijiwa na mapigo ya moyo wa mama na harufu yake.
KMC ni nafuu zaidi kuliko huduma ya incubator, hasa katika familia za kipato cha kati. Hata hivyo, asilimia 20 tu ya vituo vya afya huhamasisha KMC, hivyo ni muhimu mama kufahamu hili ili aweze kuhimiza kuelekezwa kutimiza huduma hii kwa mtoto wake.

Huduma ya Mama ya Kangaroo haihitaji mazingira na vifaa vya incubation. Inaweza kutumiwa popote, Inaweka watoto wachanga hasa waliozaliwa kabla ya muda katika uimara na kuwapa joto.

Katika mazingira fulani akina baba pia wanaweza kutoa huduma hii, iwapo mama amefariki au yupo katika hali mbaya baada ya kujifungua.
afyalishetz.blogspot.com

Sylvia Senkoro

AfyaLishe Tz Director

0754031039/ 0655568468

sylsenkoro@gmail.com

Comments

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.

Popular posts from this blog

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA

UANDAAJI WA LISHE YA UJI UNAOTAKIWA KWA MTOTO MIEZI SITA NA KUENDELEA Tumekua na tamaduni ya kuandaa uji wa lishe ya mtoto bila kufuata kanuni za uandaaji bora. Madhara ya uji usio bora

UANDAAJI MAZIWA YA SOYA UKIWA NYUMBANI

Maziwa ya Soya Aina hii ni maarufu pia, na kwa kuwa yanatokana na mimea, maziwa haya hana cholesterol ( lehemu) - tofauti na maziwa ya kawaida. Maziwa ya Soya pia yana kiwango cha chini cha kalori kuliko maziwa ya ng'ombe, yana kalori takribani 130 kwa kila kikombe. Hakuna lactose  katika maziwa haya, aina ya protini inayoleta sana gesi tumboni, hivyo huyafanya kuwa mbadala muhimu kwa watu ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa kushindwa kuvumilia lactose (lactose intolerance) katika mfumo wao wa umeng'enyaji, pamoja na watu wasiotumia bidhaa zitokanazo na wanyama pia (vegeterians) sababu haitoki kwa wanyama.  Soya ni mboga nzuri sana, na maziwa yanayotokana na jamii hii yana utajiri wa potasiamu, protini na kalsiamu ikiwa mtengenezaji atayaimarisha na madini. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini A na vitamini B12, ambayo haipo katika aina nyingine za maziwa. Maziwa ya Soya hutoa kiwango cha juu cha protini, pia ni bora kwa watu ambao wanajaribu kudhibiti uzito wao au kupu...

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO Mtoto anyonye maziwa ya mama tu hadi ayakapotimiza Miezi sita. Utakua umemuepushia magonjwa na hatari zingine nyingi tu. Kama mama hana maziwa ya kutosha mtoto pia anaweza kupewa formula milk ila ni pale tu mama akiwa maefariki au akiwa na tatizo kama hilo la maziwa kuto tosha. Lakini ni muhimu mama kukazana kuhakikisha maziwa yanatosha ili mtoto awe katika hali salama na afya zaidi. Fahamu vitu vifuatavyo vimesaidia wengine 🍵Maziwa ya mama yametengenezwa na vtu vi3 vya muhimu *maji ambayo ndio mengi *Protein and *Fats 🍵 ni muhimu sana kufahamu kwamba  kutoka kwa  Maziwa kunahitaji activity ya hormones/ homoni ziwe stimulated, na kinachostimulate ni mtoto kunyonya au kuvuta chuchu Hivyo mtoto anavovuta au kunyonya chuchu ya mama yake ndivo hormones za kutengeneza  maziwa zinavozalishwa zaidi, hivyo kuleta matokeo chanya katika unyonyeshaji. Mama asikate tamaa kumueka mtoto kwenye chuchu hata kama maziwa hayat...
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""