Chagua lishe bora leo!!!
Vyakula vinaweza kuchangia katika kuzuia na kutibu magonjwa, lakini pia vinaweza kuwa visababishi vya magonjwa hayo.
Hivyo chakula bora sio kile chenye mjumuisho wa vitu vyote katika makundi ya vyakula, kama tunavofikiria, bali ni kile kinachojumuisha vyenye virutubishi muhimu kwa kiasi na kinachokwepa vile vinavyoweza kuleta hatari.
Taarifa + chaguo sahihi= AFYA BORA
Matunda, nafaka, vyenye jamii ya mikunde, pamoja na mboga za majani, ni vyakula vyenye sifa nzuri za kuwa na viua sumu na viambata vyenye tabia za tiba ya asili.
ENGLISH
Foods can prevent and cure diseases, but they can also cause them.
Therefore the best diet is
not one that includea a little of everything, like we always think, but one that avoids the harmful and makea moderate use of the beneficial
Information + Correct Choices = HEALTH
Fruits, grains, legumesas well as vegetables are particularly rich in antioxidants and accompanying substances known as phytochemical elements, that acts as true natural phamaceuticals.
Comments
Post a Comment