Diet tips for men kwa kupunguza uzito ๐Adjust meals zako uondoe starch and tumia protean instead. ๐Tumia asali in moderation achana na sukari and any sugary staff ๐If unakunywa bia mbili tatu, acha au iwe moja tu weekely, pia achana na soda kabisaa Or any processed beverages. Instead tumia fruits or natural fruit juice zenye asali instead of sugar. ๐Hakikisha unachokula unakifanyia kazi. ๐Hakikisha usiku ule saa moja jioni usizidishe hapo nd tumia fruits nd vegies yani a light meal. ๐Asubuhi kunywa maji ya moto yenye limao kwa ajili ya kuchoma mafuta. ๐Vuta muda ule saa sita au tano nanusu, skip breakfast. ๐Fanya zoezi, hasa kukimbia au kuruka kamba, kama una kitambi push-ups, na mazoezi mengine ya tumbo unaaeza ukakazana nayo. ๐Kunywa maji yasiopungua 3 litres per day. ๐ Warning . Kwa wanaume ukila sana proteans ukafanya na mazoezi utanenepa na si kupungua. Hivo hakikisha unareduce meals portion zako. By Sylvia ReSta Dietetics & Co...