Skip to main content

Posts

""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

UANDAAJI MAZIWA YA SOYA UKIWA NYUMBANI

Maziwa ya Soya Aina hii ni maarufu pia, na kwa kuwa yanatokana na mimea, maziwa haya hana cholesterol ( lehemu) - tofauti na maziwa ya kawaida. Maziwa ya Soya pia yana kiwango cha chini cha kalori kuliko maziwa ya ng'ombe, yana kalori takribani 130 kwa kila kikombe. Hakuna lactose  katika maziwa haya, aina ya protini inayoleta sana gesi tumboni, hivyo huyafanya kuwa mbadala muhimu kwa watu ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa kushindwa kuvumilia lactose (lactose intolerance) katika mfumo wao wa umeng'enyaji, pamoja na watu wasiotumia bidhaa zitokanazo na wanyama pia (vegeterians) sababu haitoki kwa wanyama.  Soya ni mboga nzuri sana, na maziwa yanayotokana na jamii hii yana utajiri wa potasiamu, protini na kalsiamu ikiwa mtengenezaji atayaimarisha na madini. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini A na vitamini B12, ambayo haipo katika aina nyingine za maziwa. Maziwa ya Soya hutoa kiwango cha juu cha protini, pia ni bora kwa watu ambao wanajaribu kudhibiti uzito wao au kupu...

LISHE BORA KWA WANAUME/ PUNGUZA UNENE

Diet tips for men kwa kupunguza uzito ๐Ÿ‰Adjust meals zako uondoe starch and tumia protean instead. ๐Ÿ‰Tumia asali in moderation achana na sukari  and any sugary staff ๐Ÿ‰If unakunywa bia mbili tatu, acha au iwe moja tu weekely, pia achana na soda kabisaa Or any processed beverages. Instead tumia fruits or natural fruit juice zenye asali instead of sugar. ๐Ÿ‡Hakikisha unachokula unakifanyia kazi. ๐Ÿ‰Hakikisha usiku ule saa moja jioni usizidishe hapo nd tumia fruits nd vegies  yani a light meal. ๐Ÿ‰Asubuhi kunywa maji ya moto yenye limao kwa ajili ya kuchoma mafuta. ๐Ÿ†Vuta muda ule saa sita au tano nanusu, skip breakfast. ๐Ÿ’Fanya zoezi, hasa kukimbia au kuruka kamba, kama una kitambi push-ups, na mazoezi mengine ya tumbo unaaeza ukakazana nayo. ๐Ÿ‰Kunywa maji yasiopungua 3 litres per day. ๐Ÿ  Warning . Kwa wanaume ukila sana proteans ukafanya na mazoezi utanenepa na si kupungua. Hivo hakikisha unareduce meals portion zako. By Sylvia ReSta Dietetics & Co...

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO Mtoto anyonye maziwa ya mama tu hadi ayakapotimiza Miezi sita. Utakua umemuepushia magonjwa na hatari zingine nyingi tu. Kama mama hana maziwa ya kutosha mtoto pia anaweza kupewa formula milk ila ni pale tu mama akiwa maefariki au akiwa na tatizo kama hilo la maziwa kuto tosha. Lakini ni muhimu mama kukazana kuhakikisha maziwa yanatosha ili mtoto awe katika hali salama na afya zaidi. Fahamu vitu vifuatavyo vimesaidia wengine ๐ŸตMaziwa ya mama yametengenezwa na vtu vi3 vya muhimu *maji ambayo ndio mengi *Protein and *Fats ๐Ÿต ni muhimu sana kufahamu kwamba  kutoka kwa  Maziwa kunahitaji activity ya hormones/ homoni ziwe stimulated, na kinachostimulate ni mtoto kunyonya au kuvuta chuchu Hivyo mtoto anavovuta au kunyonya chuchu ya mama yake ndivo hormones za kutengeneza  maziwa zinavozalishwa zaidi, hivyo kuleta matokeo chanya katika unyonyeshaji. Mama asikate tamaa kumueka mtoto kwenye chuchu hata kama maziwa hayat...

FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA/PUMKIN SEEDS IMPORTANCE

SWAHILI Inapigana na kansa Inatuliza akili na kusaidia kupata usingizi. Inasaidia kazi za mwili kama kuvunja vunja chakula na kunyonya virutubishi. Ina kiwango kizuri cha protini Hivyo hujenga mwili. Ina kiwango kizuri cha kalsiamu hivo inasaidia kuzuia matatizo ya miguu (mifupa) kwa kina mama hasa uzeeni. Inaepusha magonjwa ya moyo sababu ina aina nzuri ya mafuta yasiyo na high cholesterol. Inasaidia afya ta figo. Inasaidia kuimarisha kinga mwilini Huongeza uwezo wa uzazi kwa wanaume Itumike kwa kiasi inaweza leta unene.       Hutuliza presha. Hudhibiti kisukari. Husaidia uumbaji wa mtoto, wakati mama ni mjamzito. Husaidia kuongeza kiwango cha maziwa kwa mama anaenyonyesha. Inaweza kuliwa ikiwa imesagwa na kutumika kama kiungo kwenye kachumbari na vyakula. Lakini pia inaweza kukaangwa na kutafunwa kama kkaranga. ENGLISH. Pumpkin seeds are delicious and often overlooked parts of a pumpkin, which have many health benefits and nutrients packed ...

BELL PEPPER/PILIPILI HOHO

SWAHILI PILIPILI HOHO  -Husaidia kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini. -Hudhibiti madhara katika baadhi ya kansa. -Hileta harufu na ladha nzuri ya chakula. -Husaidia kufanya ngozi na nywele kuwa na mvuto. -Husaidiakudhibiti baadhi ya magonjwa ya macho. -Husaidia kudhibiti kisukari. -Huumarisha afya ya neva na kujenga seli mpya. ENGLISH Bell peppers are low in calories! So, even if you eat one full cup of them, you get just about 45 calories. Bonus: that one cup will give you more than your daily quota of Vitamin A and C! They contain plenty of vitamin C, which powers up your immune system and keeps skin youthful.  The highest amount of Vitamin C in a bell pepper is concentrated in the red variety. Red bell peppers contain several phytochemicals and carotenoids,  particularly beta-carotene, which lavish you with antioxidant and anti-inflammatory benefits. The capsaicin in bell peppers has multiple health benefits. Studies show that it reduces ‘...

FAIDA ZA NYUKI

UFUGAJI WA NYUKI KWENYE MIZINGA ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ Nyuki ni chanzo cha uzalishaji wa asali ๐ŸUfugaji nyuki (au *apiculture*,  jina limetokana na neno la Kilatini apis= nyuki)  ๐ŸApiculture ni ufugaji wa nyuki wa asali unaohusisha utengenezaji wa mizinga ya nyuki, mara nyingi ikiwa ni pamoja na kuwazalisha nyuki kwa makundi toafauti tofauti. ๐Ÿ Mfugaji wa nyuki (au apiarist) hufuga nyuki ili kukusanya asali na bidhaa nyingine zitikanazo na ufugaji wa nyuki.  ๐ŸEneo ambapo nyuki wanahifadhiwa au kufugwa huitwa "apiary" ๐ŸAsali hutumika kama chakula pia inajulikana kuwa na thamani ya dawa. Inajulikana kuwa muhimu sana katika matibabu ya matatizo mbalimbali ya wanadamu kuhusiana na mmeng'enyo wa chakula yaani  digestion, ugonjwa wa kuhara kutapika, magonjwa ya  tumbo na ugonjwa wa ini. ๐Ÿ Utafiti wa kisasa unaonyesha kwamba asali: ๐ŸInazuia ukuaji wa bakteria ya mdomo Inatengeneza layer mdomoni na  kwenye koo na hupunguza vidonda kooni. Pia a...

MORINGA BENEFITS/ FAIDA ZA MLONGE

MLONGE Inaweza kutumika kwa ajili ya upishi na dawa. Mbegu hizi ni chakula ila  zinapaswa kutafunwa, badala ya kuzimeza nzima nzima, pia ni muhimiu zikapikwa au kukaushwa kabla ya kuliwa, badala ya kula mbichi. UMUHIMU KATIKA LISHE Mbegu za Moringa ni chanzo kikubwa cha Madini chuma, Potasiamu, Vitamini A, Vitamini C, Calcium, Amino asidi, na Nyuzi za chakula/Fibers. FAIDA ZAKE KIUNDANI -Huongeza mfumo wa kinga ya mwili. -Hupunguza shinikizo la damu. -Kurahisisha upatikanaji wa usingizi, na -Kuongeza afya ya ngozi, nywele na mifupa. MAELEZO KWA KINA. Huongeza mfumo wa kinga ya mwili. Uchunguzi umegundua kwamba mbegu hizi zina tabia za kinga dhidi ya vimelea na virusi, kutokana na mkusanyiko wao mkubwa wa vitamini C, pamoja na viuasumu mbalimbali ambavyo kiujumla vinaimarisha kinga ya mwili. Kupungua uzito kwa sababu ya kiwango kikubwa cha nyuzi chakula/ Fiber, hizi zitasaidia kushibisha, na hivyo kupunguza tamaa ya kula isiyo rasmi. Msaada wa Kulala. R...

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""