Skip to main content

Posts

""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA/PUMKIN SEEDS IMPORTANCE

SWAHILI Inapigana na kansa Inatuliza akili na kusaidia kupata usingizi. Inasaidia kazi za mwili kama kuvunja vunja chakula na kunyonya virutubishi. Ina kiwango kizuri cha protini Hivyo hujenga mwili. Ina kiwango kizuri cha kalsiamu hivo inasaidia kuzuia matatizo ya miguu (mifupa) kwa kina mama hasa uzeeni. Inaepusha magonjwa ya moyo sababu ina aina nzuri ya mafuta yasiyo na high cholesterol. Inasaidia afya ta figo. Inasaidia kuimarisha kinga mwilini Huongeza uwezo wa uzazi kwa wanaume Itumike kwa kiasi inaweza leta unene.       Hutuliza presha. Hudhibiti kisukari. Husaidia uumbaji wa mtoto, wakati mama ni mjamzito. Husaidia kuongeza kiwango cha maziwa kwa mama anaenyonyesha. Inaweza kuliwa ikiwa imesagwa na kutumika kama kiungo kwenye kachumbari na vyakula. Lakini pia inaweza kukaangwa na kutafunwa kama kkaranga. ENGLISH. Pumpkin seeds are delicious and often overlooked parts of a pumpkin, which have many health benefits and nutrients packed ...

BELL PEPPER/PILIPILI HOHO

SWAHILI PILIPILI HOHO  -Husaidia kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini. -Hudhibiti madhara katika baadhi ya kansa. -Hileta harufu na ladha nzuri ya chakula. -Husaidia kufanya ngozi na nywele kuwa na mvuto. -Husaidiakudhibiti baadhi ya magonjwa ya macho. -Husaidia kudhibiti kisukari. -Huumarisha afya ya neva na kujenga seli mpya. ENGLISH Bell peppers are low in calories! So, even if you eat one full cup of them, you get just about 45 calories. Bonus: that one cup will give you more than your daily quota of Vitamin A and C! They contain plenty of vitamin C, which powers up your immune system and keeps skin youthful.  The highest amount of Vitamin C in a bell pepper is concentrated in the red variety. Red bell peppers contain several phytochemicals and carotenoids,  particularly beta-carotene, which lavish you with antioxidant and anti-inflammatory benefits. The capsaicin in bell peppers has multiple health benefits. Studies show that it reduces ‘...

FAIDA ZA NYUKI

UFUGAJI WA NYUKI KWENYE MIZINGA 🐝🐝🐝🐝🐝🐝🐝 Nyuki ni chanzo cha uzalishaji wa asali 🐝Ufugaji nyuki (au *apiculture*,  jina limetokana na neno la Kilatini apis= nyuki)  🐝Apiculture ni ufugaji wa nyuki wa asali unaohusisha utengenezaji wa mizinga ya nyuki, mara nyingi ikiwa ni pamoja na kuwazalisha nyuki kwa makundi toafauti tofauti. 🐝 Mfugaji wa nyuki (au apiarist) hufuga nyuki ili kukusanya asali na bidhaa nyingine zitikanazo na ufugaji wa nyuki.  🐝Eneo ambapo nyuki wanahifadhiwa au kufugwa huitwa "apiary" 🐝Asali hutumika kama chakula pia inajulikana kuwa na thamani ya dawa. Inajulikana kuwa muhimu sana katika matibabu ya matatizo mbalimbali ya wanadamu kuhusiana na mmeng'enyo wa chakula yaani  digestion, ugonjwa wa kuhara kutapika, magonjwa ya  tumbo na ugonjwa wa ini. 🐝 Utafiti wa kisasa unaonyesha kwamba asali: 🐝Inazuia ukuaji wa bakteria ya mdomo Inatengeneza layer mdomoni na  kwenye koo na hupunguza vidonda kooni. Pia a...

MORINGA BENEFITS/ FAIDA ZA MLONGE

MLONGE Inaweza kutumika kwa ajili ya upishi na dawa. Mbegu hizi ni chakula ila  zinapaswa kutafunwa, badala ya kuzimeza nzima nzima, pia ni muhimiu zikapikwa au kukaushwa kabla ya kuliwa, badala ya kula mbichi. UMUHIMU KATIKA LISHE Mbegu za Moringa ni chanzo kikubwa cha Madini chuma, Potasiamu, Vitamini A, Vitamini C, Calcium, Amino asidi, na Nyuzi za chakula/Fibers. FAIDA ZAKE KIUNDANI -Huongeza mfumo wa kinga ya mwili. -Hupunguza shinikizo la damu. -Kurahisisha upatikanaji wa usingizi, na -Kuongeza afya ya ngozi, nywele na mifupa. MAELEZO KWA KINA. Huongeza mfumo wa kinga ya mwili. Uchunguzi umegundua kwamba mbegu hizi zina tabia za kinga dhidi ya vimelea na virusi, kutokana na mkusanyiko wao mkubwa wa vitamini C, pamoja na viuasumu mbalimbali ambavyo kiujumla vinaimarisha kinga ya mwili. Kupungua uzito kwa sababu ya kiwango kikubwa cha nyuzi chakula/ Fiber, hizi zitasaidia kushibisha, na hivyo kupunguza tamaa ya kula isiyo rasmi. Msaada wa Kulala. R...

CHAGUO BORA LA VYAKULA/ RIGHT CHOICES OF FOODS.

Chagua lishe bora leo!!! Vyakula vinaweza kuchangia katika kuzuia na kutibu magonjwa, lakini pia vinaweza kuwa visababishi vya magonjwa hayo.

WAJUE WATU #1

Tabia za baadhi ya watu Kisaikolojia. Binadamu huzaliwa akiwa blank hana kitu akilini mwake, Lakini kadri akuavyo mazingira yanayomzunguka yanamjaza akili.

INCREASE CHILD'S ABILITY TO LEARN/ ONGEZA UWEZO WA MTOTO KUJIFUNZA

Quick fact  By UNICEF TANZANIA : Many parents do not know that they can support their children’s learning at home. Everyone, even without special training or materials, can support early learning.

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""