Skip to main content

Posts

""Kwa msaaada zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0754031039/0655568468 AfyaLishe Tz kwa ajili yako""

COUNSELLING DESK

COUNSELLING DESK
Tumia huduma yetu ya ushauri, na kujadiliana. Kwa matatizo ya kifamilia, kibiashara, kielimu, kiafya, mahusiano na mfumo mzima wa maisha wasiliana nasi kwa 0754031039 au 0655568468

MAFUNZO YA SIKU 1000 ZA MTOTO ( AFYA NA LISHE YA MAMA NA MTOTO)

* Ratiba ya mafunzo ya siku 1000 za mtoto, afya ya mama na mtoto kuanzia ujauzito hadi mtoto atimizapo miaka miwili.* ```Kabla ya lolote tutaanza kwa kupima tunaelewa nini kuhusu siku 1000 za mtoto.``` 1. Maana na umuhimu wa siku 1000 kwa mtoto 2. Maandalizi bora ya siku 1000 za mtoto 3. Faida ylza kuzingatia lishe bora kabla ya ujauzito 4. Kipindi cha ujauzito ▪trimester 1 ▪trimester 2 ▪trimester 3 ▪Ongezeko la uzito 5. Mlo kamili kwa wajawazito 6. Matatizo yanayohusiana na lishe kipindi vha ujauzito na jinsi ya kuepukana nayo 7. Baada ya ujauzito na kipindi cha kujifungua 8. Lishe bora ya mama baada ya kujifungua 9. Afya ya mtoto na maziwa ya mama miezi 0-6 10. Kumuanzishia mtoto chakula baada ya miezi 6 11. Ratiba na viwango vya chakula kwa mtoto miezi 6 hadi 24 12. Uzito sahihi wa mtoto kulingana na umri. 13. Maandalizi ya vyakula mbali mbalibali vya watoto 14. Matatizo yanayohusiana na lishe kwa watoto na jinsi ya kuepuka 15 . Maswali na...

BAADHI YA VITU VYA KUZINGATIA TUNAVOUKARIBISHA MWEZI MPYA, WIKI MPYA NA SIKU MPYA.

```●Nina furaha kukwaambia kwamba bado hujachelewa kuweka lengo jipya na kuamua kulifanyia kazi katika safari inayoendelea katika maishs yako. ●Zifuatazo ni baadhi ya mifumo ya maisha inayoweza kukufanya ufanikishe malengo yako muhimu katika maisha.``` 1. Ona kushindwa kama mwanzo wa kitu kipya 2. Mshirikishe Mungu kabla ya jambo lolote 3. Andaa nguo nadhifu ya kuvaa kesho kabla hujalala, amka mapema, tandika kitanda chako na  usisahau kujali afya yako. 4. Tafuta amani na yaliyopita kabla hayajakutesa 5. Weka malengo makubwa lakini anza na dogo lililo ndani ya  uwezo wako 6. Usiwekee labda katika vitu bali pima kilakitu 7. Usijifananishe na watu 8. Andika malengo yako 9. Panga mipango ya namna utatimiza malengo yako 10. Tafuta hekima na maarifa juu ya mambo mbali mbali hasa lile unslotazamia kufanya. 11. Fanya kazi yenye manufaa kwako 12. Tumia kidogo zaidi ya unacho ingiza 13. Wekeza katika mawazo yako 14. Kopa kwa manufaa 15. Epuka wapoteza...

DODOSO LA KUMPOKEA MSAIDIZI WA KAZI ZA NYUMBANI

1. Majina kamili 2. Umri 3. Historia ya familia 4. Historia ya elimu 5. Historia ya Afya 6. Historia ya kazi na kwanini aliacha. 7. Ratiba yake ya siku 8. Kazi anazoweza kufanya 9. Kazi asizoweza kufanya na kwanini. 10. Aina ya vyakula asivyoweza kula na kwanini 11. Tambua Dini yake na imani zake. * Zingatia * ●Baada ya kumdodosa dada, andika majibu yake na utumie hayo kumpangia majukumu yake na kanuni za kazi hapo kwako. ●Ni muhimu dada kupima afya yake pindi anapoingia kwako. ●Ni muhimu dada kuwa na barua ya utambulisho kutoka kijiji alipotoka iliyosainiwa ns yenye muhuri na saini ya mwenyekiti wake ●Ni muhimu dada kuja na kithibitisho cha wazazi au walezi wake kuridhia kufanya kazi hapo na uwe na mawasiliano nao. ●Ni muhimu kuweka wazi ratiba za likizo ●Ni muhimu kuweka wazi matumizi yatakayokua juu yako na atakayojitegemea ●Ni muhimu kumuandalia ratiba ya kazi itakayomuongoza kwa siku nzima. ●Ikiwezekana binti akaguliwe vitu alivyokuwa navyo anavyof...

JE UNATUMIA VIGEZO VIPI KUANZA MAHUSIANO MAPYA

Siku hizi tumejisahau sana!!! Wengi wetu angalau tumepata neema ya kusoma chekechea ama basi hata darasa la kwanza. Hiki huwa kipindi muhimu kwetu maana unaanza kuingia katika jamii, wale uliowazoea nyumbani sio utakaowakuta huko shule, namaanisha unakutana na watu wasiokuhusu kwa asilimia 100. Lakini kadri unavyoishi nao unajikuta mnafahamiana kisha mtakutana kwenye michezo kisha kuna kikundi cha watu wawili watatu ambacho utajikuta umeingia bila mpango ama kutambua ila basi tu ndio mmeendana na mnakua marafiki wa karibu (best friends) kuanzia hapo. Hii ndio stage kubwa ya mwanzo utaanza nahusiano. Ila utakubaliana na mimi pindi utakapohamia level ingine ya kielimu, wale wa nyuma utawasahau kabisa na ni wachache huweza kumaintain urafiki huu hadi utuuzima au hata mawasiliano tu. Kwanini nimetumia mfano huo? Hii ni sababu hata na utu uzima huu tumepoteza mahusiano ya wale watu wa muhimu kwetu wanaotuhusu asilimia 100 na kuingia katika kujali mahusiano na watu wasio...

UANDAAJI MAZIWA YA SOYA UKIWA NYUMBANI

Maziwa ya Soya Aina hii ni maarufu pia, na kwa kuwa yanatokana na mimea, maziwa haya hana cholesterol ( lehemu) - tofauti na maziwa ya kawaida. Maziwa ya Soya pia yana kiwango cha chini cha kalori kuliko maziwa ya ng'ombe, yana kalori takribani 130 kwa kila kikombe. Hakuna lactose  katika maziwa haya, aina ya protini inayoleta sana gesi tumboni, hivyo huyafanya kuwa mbadala muhimu kwa watu ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa kushindwa kuvumilia lactose (lactose intolerance) katika mfumo wao wa umeng'enyaji, pamoja na watu wasiotumia bidhaa zitokanazo na wanyama pia (vegeterians) sababu haitoki kwa wanyama.  Soya ni mboga nzuri sana, na maziwa yanayotokana na jamii hii yana utajiri wa potasiamu, protini na kalsiamu ikiwa mtengenezaji atayaimarisha na madini. Pia ni chanzo kikubwa cha vitamini A na vitamini B12, ambayo haipo katika aina nyingine za maziwa. Maziwa ya Soya hutoa kiwango cha juu cha protini, pia ni bora kwa watu ambao wanajaribu kudhibiti uzito wao au kupu...

LISHE BORA KWA WANAUME/ PUNGUZA UNENE

Diet tips for men kwa kupunguza uzito 🍉Adjust meals zako uondoe starch and tumia protean instead. 🍉Tumia asali in moderation achana na sukari  and any sugary staff 🍉If unakunywa bia mbili tatu, acha au iwe moja tu weekely, pia achana na soda kabisaa Or any processed beverages. Instead tumia fruits or natural fruit juice zenye asali instead of sugar. 🍇Hakikisha unachokula unakifanyia kazi. 🍉Hakikisha usiku ule saa moja jioni usizidishe hapo nd tumia fruits nd vegies  yani a light meal. 🍉Asubuhi kunywa maji ya moto yenye limao kwa ajili ya kuchoma mafuta. 🍆Vuta muda ule saa sita au tano nanusu, skip breakfast. 🍒Fanya zoezi, hasa kukimbia au kuruka kamba, kama una kitambi push-ups, na mazoezi mengine ya tumbo unaaeza ukakazana nayo. 🍉Kunywa maji yasiopungua 3 litres per day. 🍠 Warning . Kwa wanaume ukila sana proteans ukafanya na mazoezi utanenepa na si kupungua. Hivo hakikisha unareduce meals portion zako. By Sylvia ReSta Dietetics & Co...

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO

ONGEZA UWEZO WAKO WA KUMNYONYESHA MTOTO Mtoto anyonye maziwa ya mama tu hadi ayakapotimiza Miezi sita. Utakua umemuepushia magonjwa na hatari zingine nyingi tu. Kama mama hana maziwa ya kutosha mtoto pia anaweza kupewa formula milk ila ni pale tu mama akiwa maefariki au akiwa na tatizo kama hilo la maziwa kuto tosha. Lakini ni muhimu mama kukazana kuhakikisha maziwa yanatosha ili mtoto awe katika hali salama na afya zaidi. Fahamu vitu vifuatavyo vimesaidia wengine 🍵Maziwa ya mama yametengenezwa na vtu vi3 vya muhimu *maji ambayo ndio mengi *Protein and *Fats 🍵 ni muhimu sana kufahamu kwamba  kutoka kwa  Maziwa kunahitaji activity ya hormones/ homoni ziwe stimulated, na kinachostimulate ni mtoto kunyonya au kuvuta chuchu Hivyo mtoto anavovuta au kunyonya chuchu ya mama yake ndivo hormones za kutengeneza  maziwa zinavozalishwa zaidi, hivyo kuleta matokeo chanya katika unyonyeshaji. Mama asikate tamaa kumueka mtoto kwenye chuchu hata kama maziwa hayat...

NEWS

NEWS
Kula lishe bora kuepuka hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukizwa.

Chagua afya leo.

EXCLUSIVE BREASTFEEDING

EXCLUSIVE BREASTFEEDING
Make sure your child gets breastfed exclussively for the first six months, the child shouod not be fed anything else not even water. This adds up to the child's immunity and increase chencea of proper development.
""AHSANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU, KARIBU TENA/ THANK YOU FOR VISITING OUR BLOG, YOU ARE WELCOME""